Michael D'Agostino
Michael D'Agostino (amezaliwa 7 Januari 1987) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Kanada na Italia ambaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa timu ya Vancouver Whitecaps katika Ligi kuu ya soka.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Canavan, Steve. "D'Agostino reminder for Larry", Blackpool Gazette, 20 January 2008.
- ↑ "Loan latest", Blackpool F.C., 23 November 2007.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael D'Agostino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |