Michael Gbinije
Michael Patrick Gbinije (amezaliwa 5 Juni, 1992) ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya mchanganyiko kati ya Marekani na Nigeria.
Michael ni mchezaji wa timu ya Mitteldeutscher BC katika ligi ya Bundesliga ya mpira wa kikapu. Alicheza kwenye msimu mmoja katika mashindano ya mpira wa kikapu chuoni alichezea Duke kabla ya kuhamia Syracuse mnamo mwaka 2012. Alichaguliwa kama chaguo la 49 na timu ya Pistons katika machaguzi ya wachezaji ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu mwaka 2012. Michael ameweza kuiwakilisha timu ya taifa ya Nigeria. [1]
Tanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-07. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Gbinije kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |