Michele Castoro (4 Januari 19525 Mei 2018) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Michele Castoro

Castoro alizaliwa nchini Italia na alipadrishwa mwaka 1975. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Oria kuanzia mwaka 2000 hadi 2009. Baadaye alihudumu kama askofu mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Manfredonia-Vieste-San Giovanni Rotondo, Italia, kuanzia mwaka 2009 hadi kifo chake.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.