Microsoft Excel
Microsoft Excel (jina kamili ni Microsoft Office Excel) ni sehemu ya Microsoft Office. Pia inapatikana kwenye mifumo ya Mac. Imeundwa na Microsoft na ni programu ya wamiliki. Inatumika kwenye mifumo ya uendeshaji Microsoft Windows na Mac OS X.
Inaweza kufanya mahesabu na majedwali. Kwa mfano, inaweza kufanya chati na picha zingine kutoka kwenye meza za data. Pia ina lugha kubwa ya programu inayoitwa Visual Basic For Appilication (VBA). Excel ni sehemu ya Microsoft Office. Matoleo ya sasa ni 2016 kwa Windows na 2016 kwa Mac.