Mkonge
(Elekezwa kutoka Mikonge)
Mkonge | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkonge wa Fischer (Sansevieria fischeri)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Spishi nyingi; katika Afrika ya Mashariki:
|
Mikonge ni mimea ya jenasi Sansevieria katika familia Asparagaceae. Majani yao huitwa makonge. Jina hili limesilikiwa kwa Agave sisalana (mkonge dume unaolimwa kwa uzalishaji wa katani) na spishi nyingine za jenasi Agave (mkonge-pori).
Spishi za Afrika ya Mashariki
hariri- Sansevieria conspicua, Mkonge (Sansevieria conspicua)
- Sansevieria ehrenbergii, Mkonge Masai (East African wild sisal)
- Sansevieria fischeri, Mkonge wa Fischer (Fischer's sansevieria)
- Sansevieria nitida, Mkonge (Sansevieria nitida)
- Sansevieria perrotii]], Mkonge wa Perrot (Perrot's sansevieria)
- Sansevieria powellii, Mkonge wa Powell (Powell's sansevieria)
- Sansevieria raffillii, Mkonge wa Raffilli (Raffilli's sansevieria)
- Sansevieria volkensii, Mkonge wa Volkens (Volkens's sansevieria)
Picha
hariri-
Mkonge Masai
-
Mkonge wa Perrot
-
Mkonge wa Raffilli
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkonge kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |