Mkonge Dume
Mkonge dume | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkonge dume
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Mkonge dume au mkatani ni spishi ya mmea katika familia Asparagaceae unaokuzwa kwa ajili ya vitembwe vyake au katani.
Asili na uenezi
haririMkonge dume una asili ya Meksiko lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropiki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa zao la katani. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani ya Afrika ya Mashariki. Kwa miaka mingi Tanzania iliongoza duniani katika zao hilo.
Picha
hariri-
Konde la mikonge dume Morogoro
-
Shina la maua
-
Maua
-
Kuvuna makonge
-
Katani
-
Kamba ya katani
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkonge Dume kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |