Milima Makaleha (inayojulikana kama [mɐkəlɛhə] au [mɐtəlɛhə] katika Kihawaii) ni safu ya milima ambayo ipo katika kata ya Kauai upande wa mashariki wa funguvisiwa la Hawaii kilichopo Kauai.

Milima Makaleha kutoka Moalepe Trail (2018).

Kimo cha juu ni takriban mita 980 (futi 3,215) juu ya usawa wa bahari.

Jina limetokana na mahali panapoitwa Makaleha, neno la Kihawaii ambalo la kikabila kwa kirefu cha neno maka inamaanisha "jicho" na leha inamanisha "kuinua".

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.