Milima ya Rubeho
Milima ya Rubeho iko nchini Tanzania katika Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Dodoma.
Kati ya milima hiyo kuna mlima Iputa, mlima Mhundugulu, mlima Mlimu na mlima Ohakwandali.
Kilele cha juu kiko mita 2,133 juu ya usawa wa bahari.
Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Rubeho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |