Mlima Iputa ndio mrefu zaidi kati ya milima ya Rubeho iliyoko katika Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania.

Una urefu wa mita 2,133 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri