Milima ya Uvidunda
Milima ya Uvidunda iko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.
Jina linatokana na kabila la Wavidunda ambao ndio wenyeji wa eneo hilo.
Kilele cha juu kiko mita ? juu ya usawa wa bahari.
Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Uvidunda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |