Mnyoo
(Elekezwa kutoka Minyoo)
Mnyoo | ||||
---|---|---|---|---|
![]() Mnyoo-matumbo mkubwa (Ascaris lubricoides)
| ||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||
| ||||
Ngazi za chini | ||||
Faila 4: |
Minyoo ni wanyama wa aina za invertebrata zenye mwili laini, mrefu na mwembamba bila miguu. Huainishwa katika faila mbalimbali kama vile Nematoda, Annelida, Hemichordata na Platyhelminthes.
Mifano ya minyoo ni kama ifuatayo: