Mipingo

Kwa miti inayoitwa kwa jina hili, angalia hapa mpingo


Mipingo ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,926 Msimbo wa posta ni 65221 [1].

Kwenye kata ya Mipingo, karibu na kijiji cha Nambiranji, kuna kilima cha Tendaguru iliyojulikana kimataifa kama mahali pa kupatikana kwa visukuku bora, hasa mifupa ya dinosauri kutoka kipindi cha Jura.

MarejeoEdit

  1. Sensa ya 2012, Lindi - Lindi DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-22.
  Kata za Wilaya ya Mtama - Tanzania  

Chiponda | Kilangala | Kilolambwani | Kitomanga | Kiwalala | Kiwawa | Longa | Majengo | Mandwanga | Matimba | Mchinga | Milola | Mipingo | Mnara | Mnolela | Mtama | Mtua | Mtumbya | Mvuleni | Nachunyu | Nahukahuka | Namangale | Namupa | Nangaru | Navanga | Nyangamara | Nyangao | Nyengedi | Pangatena | Rutamba | Sudi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mipingo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.