Mixx by Yas ni programu ya simu inayotoa huduma za kifedha za simu, ikiwa ni pamoja na kutuma pesa, kulipa bili, na kuongeza salio la simu kutoka kwenye mtandao wa Yas.

Mixx by Yas

Awali, huduma hii ilijulikana kama Tigo Pesa, lakini ilibadilishwa jina kuwa Mixx by Yas ili kuendana na mabadiliko ya chapa ya kampuni[1].

Kwa sasa, Mixx by Yas inapatikana kupitia programu za simu za Android na iOS, na pia inapatikana kupitia huduma za USSD.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mixx by Yas kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.