Mjusi-kafiri vidole-vinene

Mjusi-kafiri vidole-vinene
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Turner (Chondrodactylus turneri)
Mjusi-kafiri vidole-vinene wa Turner (Chondrodactylus turneri)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Lacertilia (Mijusi)
Oda ya chini: Gekkota (Mijusi-kafiri)
Familia: Gekkonidae (Mijusi-kafiri wa kawaida)
Gray, 1825
Jenasi: Chondrodactylus W. Peters, 1870

Elasmodactylus Boulenger, 1895
Pachydactylus Wiegmann, 1834

Ngazi za chini

Spishi 63:

Mijusi-kafiri vidole-vinene ni mijusi wa jenasi Chondrodactylus, Elasmodactylus na Pachydactylus katika familia Gekkonidae. Vidole vya mijusi hawa ni vinene kiasi.

Mijusi hawa wana rangi ya majivu au kahawa mara nyingi pamoja na madoa, madoa-macho au mabaka meusi, meupe au njano.

Mijusi-kafiri vidole-vinene wanatokea Afrika ya Kusini hasa lakini spishi nyingine zinatokea mpaka Afrika ya Mashariki. Hukiakia usiku na hula wadudu na arithropodi wengine.

Spishi hariri

Picha hariri

Marejeo hariri

  • Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mjusi-kafiri vidole-vinene kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.