Mkia wa Ng'ombe
Mkia wa Ng'ombe (Magofu ya mji wa kale wa Mkia wa Ng'ombe) ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, nchini Tanzania.
Makazi yalianzishwa karne ya 15 na kutelekezwa katika karne ya 16. Kuna magofu ya msikiti, makaburi na baadhi ya majengo ya mawe.
Eneo hili liko katika hatari kubwa ya mmomonyoko.[1][2][3][4][5]
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Spear, Thomas (2000). "Early Swahili History Reconsidered". The International Journal of African Historical Studies. 33 (2): 257–290. doi:10.2307/220649. ISSN 0361-7882.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-07-25. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-07-25. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
- ↑ Fleisher, Jeffrey B. (2010). "Swahili Synoecism: Rural Settlements and Town Formation on the Central East African Coast, A.D. 750–1500". Journal of Field Archaeology. 35 (3): 265–282. ISSN 0093-4690.
- ↑ Ingrams, W.H. (1967,01,01). Zanzibar: its history and its people (kwa English). Frank Cass & Co., Ltd.
{{cite book}}
: Check date values in:|date=
(help)CS1 maint: unrecognized language (link)