Mkoa wa Afyonkarahisar

Afyonkarahisar (pia unaitwa kwa kifupi Afyon) ni jina la mkoa wa mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki.

Mkoa wa Afyonkarahisar
Maeneo ya Mkoa wa Afyonkarahisar nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Aegean
Eneo: 14.230 (km²)
Idadi ya Wakazi 828,201 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 03
Kodi ya eneo: 0272
Tovuti ya Gavana http://www.afyonkarahisar.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa www.turkeyforecast.com/weather/afyon/

Mikoa inayopakana karibu na hapa ni pamoja na Kütahya kwa upande wa kaskazini-magharibi, Uşak kwa upande wa magharibi, Denizli kwa upande wa kusini-magharibi, Burdur kwa upande wa kusini, Isparta kwa upande wa kusini-mashariki, Konya kwa upande wa mashariki, na Eskişehir kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wa mkoani hapa ni Afyonkarahisar. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 14.230, na idadi ya wakazi takriban 828,231 (makadirio ya sensa ya mwaka wa 2006).

Wilaya

hariri

Mkoa wa Afyonkarahisar limegawanyika katika wilaya 18 (mji mkuu umewekewa koze):

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Afyonkarahisar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.