Isparta ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na Afyon kwa upande wa kaskazini-magharibi, Burdur kwa upande wa kusini-magharibi, Antalya kwa upande wa kusini, na Konya kwa upande wa mashariki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,993 na jumla ya wakazi takriban 547,525 up kutoka 434,771 (1990). Mji mkuu wake ni Isparta.

Mkoa wa Isparta
Maeneo ya Mkoa wa Isparta nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediterranean
Eneo: 8,993 (km²)
Idadi ya Wakazi 547,525 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 32
Kodi ya eneo: 0246
Tovuti ya Gavana http://www.isparta.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/isparta

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Isparta umegawanyika katika wilaya 13 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Isparta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.