Mkoa wa Bilecik
Bilecik ni jina la mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa umepakana na baadhi ya mikoa mingine kama vile Bursa kwa upande wa upande wa mashariki, Kocaeli na Sakarya kwa upande wa kaskazini, Bolu kwa upande wa magharibi, Eskişehir kwa upande wa kusini-mashariki na Kütahya kwa upande wa kusini. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,307 na jumla ya wakazi takriban 198,809.
Mkoa wa Bilecik | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Bilecik nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 4,307 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 198,809 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 11 |
Kodi ya eneo: | 0228 |
Tovuti ya Gavana | http://www.bilecik.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/bilecik |
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Bilecik umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- (Kiingereza) Bilecik Weather Forecast Information Archived 6 Januari 2008 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) Refik Arslan Öztürk Fen Lisesi / Science High School of Bilecik Archived 16 Julai 2009 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) Bilecik Forum Archived 7 Agosti 2020 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) Yerel Yöneylem Kalkınma Derneği-Gölpazarı Archived 22 Januari 2019 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) BAYIRKÖY
- (Kituruki) Bileciklilerin Sanal Platformu Archived 2 Juni 2019 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bilecik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |