Mkoa wa Gümüşhane
Gümüşhane ni jina la kutaja mkoa uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki, umepakana na Bayburt kwa upande wa mashariki, Trabzon upande wa kaskazini, Giresun na Erzincan kwa upande wa magharibi. Umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6,575 na una wakazi takriban 191,474 mnamo mwaka wa 2006. Wakazi wake awali walikuwa 186,953 (2000).
Mkoa wa Gümüşhane | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Gümüşhane nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 6,575 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 191,474 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 29 |
Kodi ya eneo: | 0406 |
Tovuti ya Gavana | http://www.gümüşhane.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/gümüşhane |
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Gümüşhane umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- Information and news about and from Gümüşhane Archived 2 Aprili 2009 at the Wayback Machine. (Kituruki)
- Information and news about and from Gümüşhanespor (Kituruki)
- Municipality's official website
- Information and news about and from Gümüşhane (Kituruki)
- Gümüşhane weather forecast information Archived 19 Oktoba 2017 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gümüşhane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |