Muş (Kiarmenia: Մուշ Mush) ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,196, na wakazi takriban 488,997 (makisio ya 2006). Awali wakazi walikuwa 453,654 mnamo 2000. Aina kubwa ya wakazi wa hapa ni Wakurdi.[1] Mji mkuu wakeni ni Muş.

Mkoa wa Muş
Maeneo ya Mkoa wa Muş nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 8,196 (km²)
Idadi ya Wakazi 488,997 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 49
Kodi ya eneo: 0436
Tovuti ya Gavana http://www.muş.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/muş

Wilaya za mkoani hapa

hariri

Mkoa wa Muş umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Muş kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.