Mkoa wa Oruro
Oruro ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Bolivia. Mji mkuu wake ni Oruro.
Wilaya
haririOrodha ya wilaya (Kihispania: provincia) ya Oruro:
Jina | Eneo km² | Mji mkuu |
---|---|---|
Atahuallpa | 5.885 | Sabaya |
Carangas | 5.472 | Corque |
Cercado | 5.766 | Oruro |
Eduardo Avaroa | 4.015 | Challapata |
Ladislao Cabrera | 8.818 | Salinas de Garcí Mendoza |
Litoral | 2.894 | Huachacalla |
Puerto de Mejillones | 785 | La Rivera |
Nor Carangas | 870 | Huayllamarca |
Pantaleón Dalence | 1.210 | Huanuni |
Poopó | 3.061 | Poopó |
Sajama | 5.790 | Curahuara de Carangas |
San Pedro de Totora | 1.487 | Totora |
Saucarí | 1.671 | Toledo |
Sebastian Pagador | 1.972 | Santiago de Huari |
Sud Carangas | 3.536 | Santiago de Andamarca |
Tomas Barrón | 356 | Eucaliptus |
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- (Kihispania) Maelezo ya Oruro Ilihifadhiwa 19 Desemba 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bolivia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Oruro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |