Hii ni orodha ya Mikoa ya Bolivia (Kihispania: departamentos de Bolivia) na ramani.

Mkoa
Mkoa

Maelezo hariri

Bendera Escudo Jina Mji mkuu Eneo Wakazi Lugha rasmi
    Beni Trinidad 213.564 km² 430.049 (2008) Kihispania
Kimoxeño
    Chuquisaca Sucre 51.524 km² 631.062 (2008) Kihispania
Kiquechua
    Cochabamba Cochabamba 55.631 km² 1.786.040 (2008) Kihispania
Kiquechua
    La Paz La Paz 133.985 km² 2.756.989 (2008) Kihispania
Kiquechua
Kiaymara
    Oruro Oruro 53.558 km² 444.093 (2008) Kihispania
    Pando Cobija 63.827 km² 75.335 (2008) Kihispania
    Potosí Potosí 118.218 km² 780.392 (2008) Kihispania
Kiquechua
  align="center" align="center"| Santa Cruz Santa Cruz de la Sierra 370.621 km² 2.626.697 (2008) Kihispania
Kiguaraní
    Tarija Tarija 37.623 km² 496.988 (2008) Kihispania

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Bolivia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Bolivia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.