Mkuyuni
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Mkuyuni humaanisha mahali pa mti wa aina ya mkuyu. Ni jina la kata mbili nchini Tanzania:
- Mkuyuni (Morogoro vijijini) kata ya wilaya ya Morogoro vijijini
- Mkuyuni (Mwanza) kata ya wilaya ya Nyamagana katika jiji la Mwanza