Mlango wa Korea ni mlango wa bahari baina ya Korea Kusini na nchi ya Japani. Mlango huu unaunganisha Bahari ya Uchina ya Mashariki na Bahari ya Japani kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa Bahari ya Pasifiki. Mlango umegawanyika na Kisiwa cha Tsushima kwa upande wa magharibi mwa kanda ya Mlango wa Tsushima (kanda ya mashariki).

Ramani inayoonyesha Mlango wa Bahari wa Korea

Jiografia Edit

Kwa upande wa kaskazini imepakana na pwani ya kusini mwa Peninsula ya Korea, na kwa upande wa kusini ipo kusini-magharibi mwa Visiwa vya Japani vya Kyūshū na Honshū. Ipo takriban 200 km (maili 120) upana na wastani ina kina cha mita 90 hadi 100 (300 ft).

Kisiwa cha Tsushima inawagawanya Mlango wa Korea katika kanda ya magharibi na Mlango wa Tsushima. Kanda ya magharibi ina kina kirefu cha (mita 227) na mwembamba sana kuliko Mlango wa Tsushima.

Marejeo Edit

  1. ^  For example, a) Low-Frequency Current Observations in the Korea/Tsushima Strait.[dead link] W. J. Teague, G. A. Jacobs, H. T. Perkins, J. W. Book, K.-I. Chang, M.-S. Suk Journal of Physical Oceanography 32, 1621–1641 (2001). b) Tsushima. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-01-08. Iliwekwa mnamo 2009-11-27. Russo-Japanese War Research Society
  2. ^  Nautical Charts of SE Japan Sea. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-05-13. Iliwekwa mnamo 2009-11-27. Japan Hydrographic Association
  3. ^  List of National and Quasi-national Parks, Japan #48 Iki-Tsushima. Ministry of the Environment, Japan
  4. ^  The Republic of Korea’s Maritime Boundaries, page 18. Iliwekwa mnamo 23 Juni 2005.
  5. ^  Designated Area of Japan. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-08-22. Iliwekwa mnamo 2009-11-27. Hydrographic and Oceanographic Department, Japan Coast Guard

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlango wa Korea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.