Kisiwa cha Tsushima

Tsushima (kwa Kijapani: 対馬, Tsushima) ni kisiwa cha Funguvisiwa la Japani katika eneo la kati la Mlango wa Korea kwenye ramani ya kijiografia 34°25'N na 129°20'E.[1][2] Hiki ni kisiwa kikubwa kabisa cha Mkoa wa Nagasaki. Jiji la Tsushima limeenea katika kisiwa chote.

Picha ya satelaiti ya Tsushima.
Ramani inayoonyesha kisiwa cha Tsushima kilipo.

Jiografia

hariri

Kisiwa cha Tsushima kipo mjini magharibi mwa Mlango wa Kanmon kwenye latitudo baina Honshū na Kyūshū katika Japan bara. Mlango wa Korea umegawanyika katika Funguvisiwa vya Kisiwa cha Tsushima katika kanda mbili; kanda kubwa, nayo ipo karibu na Japan bara, ni Mlango wa Tsushima. Ōfunakoshi-Seto na Manzeki-Seto, mifereji miwili ambayo ilijengwa mnamo 1671 na 1900 kwa kufuatana, inaunganika na kina kirefu cha Asō Bay kwa upande wa mashariki mwa kisiwa. Funguvisiwa imejumlisha vijisehemu takriban kumi tatu ikiwemo na kisiwa kikuu.

Marejeo

hariri

Soma zaidi

hariri
  • Ian Nish, A Short History of JAPAN, 1968, LoCCC# 68-16796, Fredrick A. Praeger, Inc., New York, 238 pp.
British Title and Publisher: The Story of Japan, 1968, Farber and Farber, Ltd.
  • Edwin O Reischauer, Japan - The Story of a Nation, 1970, LoCCC# 77-10895 Afred A. Knopf, Inc., New York. 345 pp. plus index.
Previously published as Japan Past and Present, 4 Editions, 1946–1964.
  • Shiraki K, Konda N, Sagawa S, Park YS, Komatsu T, Hong SK (1985). "Diving pattern of Tsushima male breath-hold divers (Katsugi)". Undersea Biomed Res. 12 (4): 439–52. PMID 3936250. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-27. Iliwekwa mnamo 2008-07-22. {{cite journal}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help); Unknown parameter |month= ignored (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link)

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Tsushima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.