Mlima Baker

Mlima Baker

Mlima Baker (kwa Kiing.: Mount Baker) ni mlima wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wa Uganda (Afrika).

Urefu wake unafikia mita 4,844 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0Script error: No such module "check isxn"..