Mlima Kinangop (yaani kipepeo cha Kikuyu) ni kilele kimojawapo kilicho jirani na milima ya Aberdare nchini Kenya ukiwa na kimo wa mita 3,349 juu ya usawa wa bahari[1]

Kipipiri ina asili ya volikano. Unapatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Aberdare na kaunti ya Nyandarua.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. New Encyclopædia Britannica vol. 1 (2005): "The range has an average elevation of 11000 feet (3350 m) and culminates in Oldoinyo Lesatima (13120 feet [3999 m]) and Ilkinangop (12815 feet [3906 m])."

Marejeo hariri

0°26′15″S 36°32′34″E / 0.437432°S 36.542673°E / -0.437432; 36.542673