Mlima Loleza
Mlima Loleza ni jina la mlima mmojawapo wa milima ya Mbeya, katika Mkoa wa Mbeya kusini mwa Tanzania.
Una urefu wa mita 2,656 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Loleza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |