Kisiwa cha Olkokwa
(Elekezwa kutoka Mlima Ol Kokwe)
Kisiwa cha Olkokwa ni kisiwa cha kaunti ya Baringo, nchini Kenya. Kina asili ya volikano na kimo cha mita 1,130 juu ya usawa wa bahari.
Kinapatikana katika ziwa Baringo, kikiwa kikubwa kuliko vyote vilivyomo.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Olkokwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |