Serbal ni mlima kwenye rasi ya Sinai ambayo iko upande wa Asia, lakini ni ya Misri (nchi ya Afrika).

Peninsula ya Kusini mwa Sunai, Gebel Nakús au mlima wa kengele (1838)

Urefu wake unafikia mita 2,070 juu ya usawa wa bahari.

Kuna watu wanaodai ndio mlima ambako Musa alipopokea Amri Kumi[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.
  1. Jebel Serbal , tovuti ya Go tell it on the Mountain, blogu kuhusu Rasi ya Sinai.Iliangaliwa Novemba 2017