Mlima Takao ni mlima unaopatikana katika jiji la Hachiōji, Tokyo, Japani. Mlima unalindwa na Meiji no Mori Takao Quasi-Hifadhi ya Kitaifa.

Mlima Takao

Mlima huu una urefu wa mita 599 (futi 1,965) na ni sehemu maarufu nchini hapo na unapokea zaidi ya wageni milioni 2.5 kila mwaka. Bustani ya Sayansi ya Misitu ya Tama pia iko kwenye mlima huo.

Hekalu la Wabuddha, Takaosan Yakuōin Yūkiji,l iko kwenye mlima huo, na huvutia wageni wengi ambao huomba kwa tengu kwa bahati nzuri. Hekalu ni la madhehebu ya Shingon.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Takao kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.