Bahati (au sudi) inatafsiriwa kwa namna tofauti na hata kukanushwa kadiri ya utamaduni, falsafa, dini na hisia za watu.

Jani linalodhaniwa kuleta bahati njema.

Kamusi ya Noah Webster inafafanua ni "nguvu isiyo na lengo, isiyotabirika na isiyotawalika inayosababisha matukio mazuri au mabaya kwa mtu binafsi au kundi la watu".[1]

Kumbe Max Gunther inatafsiri hivi: ni "matukio ambayo yanaathiri maisha ya mtu na yanaonekana kuwa nje ya udhibiti wake".[2]

TanbihiEdit

  1. Gunther, 1977. View on Google Books.
  2. Ibidem, Gunther, 1977.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.