Mministranti (kutoka Kilatini ministrare, kutumikia; pia "mtumikizi" au "mtumishi wa Misa" au "mtumishi wa altare"; kwa Kiingereza "altar server") ni Mkristo mlei[1]) anayehudumia askofu au padri, hasa altareni, wakati wa Misa na ibada nyingine.

Waministranti hamsini katika maandamano ya kuadhimisha miaka hamsini ya kanisa huko Gennep, Uholanzi.

Mtaguso wa pili wa Vatikano ulitaja huduma hiyo katika hati "Sacrosanctum Concilium", namba 29, pamoja na zile za wasomaji, watangazaji na waimbaji.[2]

Huduma za namna hiyo zinapatikana katika Kanisa Katoliki lakini pia kati ya Waorthodoksi, Waanglikana na baadhi ya madhehebu mengine.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mministranti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.