Mnara wa amani
Mnara wa amani ni mahali ambapo Mwl. J.K Nyerere alitoa ahadi yake kwa wazee wa Kiislamu huko mkoani Tabora kwamba, endapo wazee watamuunga mkono katika kupigania Uhuru wa Taifa la Tanganyika, atalifanya Uislamu kuheshimika. Hivyo wazee hao waliungana naye kwa pamoja kwa kumpa ushirikiano wao wa dhati, mwishowe ndiyo matokeo ya uhuru wa Tanzania ya sasa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa amani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |