Mnara wa taa Lagoa Azul

Mnara wa taa katika Wilaya ya Lobata, Sao Tome and Principle

Mnara wa taa Lagoa Azul ni mnara wa taa unaopatikana katika rasi ya Lagoa Azul, wilaya ya Lobata iliyopo kaskazini mwa kisiwa cha São Tomé. Unapatikana kilomita 4.5 kutokea kaskazini magharibi mwa Guadalupe na kilomita 15 kutokea kaskazini magharibi mwa mji wa São Tomé. Mnara huu ulijengwa mnamo mwaka 1997 na una urefu wa mita 5.[1]

Picha hariri

Marejeo hariri

  1. {{|stp|accessdate= 2 October 2018}}