Mnjegere wa kizungu
(Elekezwa kutoka Mnjegere sukari)
Mnjegere wa kizungu (Pisum sativum) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mnjegere wenye makaka
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mnjegere wa kizungu (Pisum sativum) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaopandwa mahali popote kwenye maeneo ya tabianchi fufutende. Mbegu zake huitwa njegere za kizungu na huzaliwa katika makaka.
Kuna aina mbili za mnjegere ambazo hukuzwa sana kwa makaka mabichi yao yanayolika. Zote mbili huitwa mnjegere sukari lakini zinatofautiana kwa umbo wa makaka. Pisum sativum var. saccharatum una makaka bapa na P. s. var. macrocarpon una makaka manene.
Picha
hariri-
Maua
-
Makaka mabichi
-
Kaka bichi lenye njegere
-
Kaka bivu lenye njegere
-
Makaka ya mnjegere sukari saccharatum
-
Makaka ya mnjegere sukari macrocarpon
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnjegere wa kizungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |