Mohamed Ali Moncer

Mchezaji wa soka wa Tunisia

Mohamed Ali Moncer (alizaliwa tarehe 28 Aprili mwaka 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Tunisia ambaye anacheza kama kiungo wa ES Tunis.

Mohamed Ali Moncer
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Ali Moncer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.