Mohamed Banka

Mchezaji wa zamani wa Soka wa Tanzania

Mohamed Simba Banka ,(alizaliwa 24 Septemba, 1984) ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, aliyecheza kama kiungo wa kati.[1]

Mohamed Banka
Maelezo binafsi
Jina kamili Mohamed Simba Banka
Tarehe ya kuzaliwa 24 Septemba 1984
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.76 m
Nafasi anayochezea Kiungo wa kati
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Aliwahi kuchezea klabu mbalimbali nchini Tanzania kama vile Simba SC, Young Africans SC, Coastal Union, Moro United na Friend Rangers, pia na baadhi ya klabu nje ya mipaka ya Tanzania ikiwemo klabu ya Bandari Mombasa ya nchini Kenya[2]

Marejeo

hariri
  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "Mohamed Banka (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Banka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.