Mohamed Hussein
Mohamed Hussein Zimbwe Jr anajulikana kama Tshabalala, alizaliwa 11 Januari 1992 ni Mtanzania na mchezaji wa mpira wa miguu,anayechezea timu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania.
Kimataifa
haririAlicheza mechi yake ya kwanza na timu ya taifa tarehe 22 Novemba 2015 katika mchezo wa 2015 CECAFA Cup dhidi ya Somalia.[1] Alichaguliwa katika kikosi cha Kombe la Mataifa ya Afrika la 2019.
Marejeo
hariri- ↑ .national-football-teams.com/matches/report/14301/Tanzania_Somalia.html "Tanzania v Somalia ripoti ya mchezo". National Football Teams. 22 Novemba 2015.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)