Mohamed Juma Khatib

Mohamed Juma Khatib (amezaliwa 12 oktoba 1955) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Chonga kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017