Molo, Kenya
Molo ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Nakuru.
Molo | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Nakuru |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 107,806 (2,009) |
Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 107,806[1].
Molo ni pia kata ya eneo bunge la Molo[2].
Molo inatoa viazi kwa wingi.
Tanbihi
hariri- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Molo, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |