Moluska
Cornu aspersum, spishi ya konokono wa nchi kavu
Cornu aspersum, spishi ya konokono wa nchi kavu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Mollusca (Wanyama bila mifupa wenye ulimi kama tupa)
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

Ngeli 9:

Moluska ni wanyama wasio na mifupa ambao wanaishi zaidi majini, ambamo ni asilimia 23 za wanyama wote walioainishwa. Lakini wengine wanaishi katika nchi kavu, kama vile konokono wengi. Baharini wako pia kama kome na chaza.

Siku hizi kuna spishi 85,000 za wanyama hao, nazo ni tofauti sana. Spishi nyingine zimekoma.

Jina lilienea kuanzia Kifaransa mollusque, kutoka neno la Kilatini molluscus, ambalo mzizi wake ni mollis, yaani laini. Aristotle aliwahi kutumia neno la Kigiriki τα μαλακά, ta malaka, "vitu laini", kwa aina ya mnyama wa baharini wa jamii ya pweza.

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moluska kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.