Mona Lisa

(Elekezwa kutoka Monalisa)

Mona Lisa (pia huitwa La Gioconda ambayo kwa Kiitalia ina maana ya mwanamke mchangamfu) ni mchoro maarufu wa mwanzoni mwa karne ya 16, kazi ya mwanasayansi na mchoraji Leonardo da Vinci.

Mchoro wa Mona Lisa, uliofanywa na Leonardo da Vinci.

Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri zaidi duniani kote. Kwa sasa mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesho (makumbusho) la jijini Paris (Ufaransa) maarufu kama Louvre.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mona Lisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.