Monica Ngenzi Mbega

Monica Ngenzi Mbega (amezaliwa 22 Aprili 1956) alikuwa mbunge wa jimbo la Iringa Mjini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1]

Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Monica Ngenzi Mbega (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.