Monte Fumaiolo

Chanzo cha mto Tiber katika mlima wa Monte Fumaiolo

Monte Fumaiolo ni mlima wa Apenini katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini). Unajulikana hasa kwa chanzo cha mto Tiber kilichotoka mlimani.

Urefu wake ni mita 1,407 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit