Monte Pissis ni mlima wa Andes katika nchi ya Ajentina (Amerika Kusini).

Muonekano wa barafu Monte Pissis.

Urefu wake ni mita 6,774 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri