Moundou ni mji uliopo katika mkoa wa Logone Occidental nchini Chad. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

muonekano wa angani wa mji wa Moundou mji mkuu wa kiuchumi wa Chad
muonekano wa angani wa mji wa Moundou mji mkuu wa kiuchumi wa Chad

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 137,251 [1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moundou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.