Mvungunya

(Elekezwa kutoka Mranaa)
Mvungunya
(Kigelia africana)
Mvungunya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Lamiales (Mimea kama guguchawi)
Familia: Bignoniaceae (Mimea iliyo mnasaba na mvungunya)
Jenasi: Kigelia
Spishi: K. africana
(Lam.) Benth.

Mvungunya, mvungavunga, mbungati, mranaa au mwegea (Kigelia africana) ni mti mwenye matunda kwa umbo wa soseji kubwa (mavungunya). Kwa asili mti huu unatokea Afrika ya tropiki lakini umepandwa kama mti wa kupamba katika mabara mengine. Mavungunya hutumika katika uganga wa mapokeo na ili kutengeneza pombe ya kienyeji (Kikikuyu: mũratina).

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mvungunya kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.