Mshanga
Mshanga (Adenanthera pavonina) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mshanga huko Uhindi
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mshanga (Adenanthera pavonina) ni mti mdogo wa familia Fabaceae. Umepata jina lake kwa sababu mbegu zake nyekundu hutumika kama shanga.
Picha
hariri-
Majani
-
Maua
-
Matumba mabichi
-
Matumba mabivu yaliyobanjika na kuonyesha mbegu nyekundu
-
Mbegu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mshanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |