Mto Buzi ni mto wa Msumbiji unaoishia katika Bahari ya Hindi.

Mto wa Buzi na mafuriko baada ya Kimbunga Idai, Machi 2019

Urefu wake ni km 250 hivi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Buzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.